Luke 7:29-30

29 a(Watu wote hata watoza ushuru waliposikia maneno ya Isa, walikubali kwamba mpango wa Mungu ni haki, maana walikuwa wamebatizwa na Yahya. 30 bLakini Mafarisayo na wataalamu wa sheria walikataa mpango wa Mungu kwao kwa kutokubali kubatizwa na Yahya.)

Copyright information for SwhKC